Zanzibar Kamili TV
Zanzibar Kamili TV
  • 2 317
  • 17 100 237
Hotuba ya Makamo wa Kwanza leo katika hafla ya kumuaga Dkt. Omar Shajak
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Leo Jumamosi Juni 29, 2024, ameshiriki akiwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya Kumuaga Katibu Mkuu Mstaafu wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Dokta Omar Dadi Shajak, hapo Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege Zanzibar.
Akitoa salamu zake kwa Wafanyakazi na Viongozi mbali mbali waliohudhuria hapo, Mheshimiwa Othman amesema, "Nchi haiendeshwi kwa Nani Wangu", bali kwa kuzingatia utaratibu wa kuwapata watumishi wenye kipaji, uwezo, na kujali misingi ya uadilifu katika kusimamia maendeleo na maslahi ya umma.
Mheshimiwa Othman amesema ili Zanzibar iweze kusogea kutoka pale ilipo sasa, na kuyafikia maendeleo ya kweli, ni wajibu kuzingatia misingi ya sera, uadilifu, moyo wa utumishi, na kuachana na tabia ya 'petty mindedness", ambayo inawapelekea Viongezi Wakubwa wenye Mamlaka, kujihusisha na mambo dhaifu ya ovyo, yanayodhoofisha kasi ya maendeleo.
Naye, Mlengwa Mkuu wa Hafla hiyo, Dokta Shajak, akitoa Neno la Shukrani, ameshukuru heshima kubwa aliyopewa, Yeye na Familia yake, kupitia Mkusanyiko huo, uliobeba dhamira ya kumuaga baada ya Utumishi wake wa Umma, wa takriban Miaka 33 katika Wizara na Taasisi mbali mbali za Serikali.
Viongozi wa Serikali, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Makamishna, Watendaji Wastaafu, Maafisa Wadhamini, Viongozi wa Mamlaka, Taasisi mbali mbali za Umma na Sekta Binafsi, kutoka ndani na Nje ya Zanzibar, wamehudhuria katika Hafla hiyo, wakiwemo Mawaziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Kwanza, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Harusi Said Suleiman, na Mhe. Hamza Hassan Juma; Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi , Mhe. Mhandisi Zena Ahmed Said, pamoja na Familia ya Dokta Shajak.
Hafla hiyo imejumuisha pia harakati mbali mbali za Burudani, An'ashid, Onyesho fupi la Kumbukumbu, na Uzinduzi wa Kitabu cha Historia Fupi ya Dokta Shajak; pamoja na kukabidhiwa Zawadi kwa Mstaafu huyo, Yeye na Familia yake, zikiwemo Fanicha, Bustani za Miti ya Matunda, Mashine za Mazoezi, na Gharama kwaajili ya Kwenda Kutekeleza Ibada ya Umra, huko Makka Saudi Arabia.
Viongozi na Watu mbali mbali wamechangia kufanikisha Zawadi pamoja na Hafla hiyo wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan; na Uongozi wa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Muungano na Mazingira.
Kitengo cha Habari
Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Juni 29, 2024.
Переглядів: 1 722

Відео

OMO alivyofunguka kuhusu yanayoendelea na hatma ya ZanzibarOMO alivyofunguka kuhusu yanayoendelea na hatma ya Zanzibar
OMO alivyofunguka kuhusu yanayoendelea na hatma ya Zanzibar
Переглядів 1,7 тис.6 днів тому
Jussa atema cheche, aanika jinsi Zanzibar inavyotafunwa na serikali ya MwinyiJussa atema cheche, aanika jinsi Zanzibar inavyotafunwa na serikali ya Mwinyi
Jussa atema cheche, aanika jinsi Zanzibar inavyotafunwa na serikali ya Mwinyi
Переглядів 1,6 тис.7 днів тому
Makamu mwenyekiti wa ACT Zanzibar Mhe. Ismail Jussa akizungumza na wananchi.
Mansour amwambia Mwinyi na CCM yake wasahau ndoto za kujiongezea miaka bila uchaguziMansour amwambia Mwinyi na CCM yake wasahau ndoto za kujiongezea miaka bila uchaguzi
Mansour amwambia Mwinyi na CCM yake wasahau ndoto za kujiongezea miaka bila uchaguzi
Переглядів 3,8 тис.7 днів тому
Mansour Yussuf Himid akihutubia wananchi Unguja
Fursa za kiuchumi tunazo lakini watu wetu hawaidiki nazo, tunahitaji mageuzi-OMOFursa za kiuchumi tunazo lakini watu wetu hawaidiki nazo, tunahitaji mageuzi-OMO
Fursa za kiuchumi tunazo lakini watu wetu hawaidiki nazo, tunahitaji mageuzi-OMO
Переглядів 50010 днів тому
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, leo Ijumaa Juni 21, 2024 amejumuika na Waumini wa Kiislamu, katika Ibada ya Sala ya Ijumaa, hapo Msikiti wa Ijumaa Kigunda, uliopo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Baada ya Sala hiyo, Mheshimiwa Alhaj Othman ametoa salamu zake mbele ya Waumini akisema, ni busara kuendelea kushikamana na Mafunzo Mema ya Dini, yakiwemo m...
Makamo wa Kwanza afunguka kwenye mahojino, aeleza kiu yake ya kuiona Zanzibar huru yenye maendeleoMakamo wa Kwanza afunguka kwenye mahojino, aeleza kiu yake ya kuiona Zanzibar huru yenye maendeleo
Makamo wa Kwanza afunguka kwenye mahojino, aeleza kiu yake ya kuiona Zanzibar huru yenye maendeleo
Переглядів 3,2 тис.10 днів тому
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa Mhe. Othman Masoud akizungumza na Gumzo la Ghassani visiwani Zanzibar.
Mansour afunguka katika kipindi cha Sauti ya WazalendoMansour afunguka katika kipindi cha Sauti ya Wazalendo
Mansour afunguka katika kipindi cha Sauti ya Wazalendo
Переглядів 1,1 тис.15 днів тому
Mahujaji wa Zanzibar wawasili MakkahMahujaji wa Zanzibar wawasili Makkah
Mahujaji wa Zanzibar wawasili Makkah
Переглядів 43319 днів тому
TAMKO LA ACT LEO KUHUSU TUME YA UCHAGUZI, WASEMA HAWATOKUBALI UJAMBAZI WA DEMOKRASIATAMKO LA ACT LEO KUHUSU TUME YA UCHAGUZI, WASEMA HAWATOKUBALI UJAMBAZI WA DEMOKRASIA
TAMKO LA ACT LEO KUHUSU TUME YA UCHAGUZI, WASEMA HAWATOKUBALI UJAMBAZI WA DEMOKRASIA
Переглядів 2,9 тис.20 днів тому
Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho.
Jussa alivyofunguka mkutano wa ACT jimbo la ShaurimoyoJussa alivyofunguka mkutano wa ACT jimbo la Shaurimoyo
Jussa alivyofunguka mkutano wa ACT jimbo la Shaurimoyo
Переглядів 70422 дні тому
Hotuba ya Makamo mwenyekiti wa ACT Zanzibar Mhe. Ismail Jussa katika uwanja wa Kivumbi, jimbo la Shaurimoyo kisiwani Unguja.
Hotuba ya Mansoor mkutano Shaurimoyo, asema CCM haikushinda wakati ina watu sembuse sasa na MwinyiHotuba ya Mansoor mkutano Shaurimoyo, asema CCM haikushinda wakati ina watu sembuse sasa na Mwinyi
Hotuba ya Mansoor mkutano Shaurimoyo, asema CCM haikushinda wakati ina watu sembuse sasa na Mwinyi
Переглядів 3,5 тис.22 дні тому
Mansour Yussuf Himid
SERIKALI YAENDELEA KUWANYIMA WANANCHI ZAN ID, WAMLALAMIKIA MAKAMO WA KWANZASERIKALI YAENDELEA KUWANYIMA WANANCHI ZAN ID, WAMLALAMIKIA MAKAMO WA KWANZA
SERIKALI YAENDELEA KUWANYIMA WANANCHI ZAN ID, WAMLALAMIKIA MAKAMO WA KWANZA
Переглядів 1,6 тис.23 дні тому
Makamo wa Kwanza wa Rais na Mwenyekiti wa ACT Taifa akizungumza na wananchi Pemba.
Hatuwezi kuijenga Pemba Sawa na Unguja, hao Wapemba wenyewe wengi wapo UngujaHatuwezi kuijenga Pemba Sawa na Unguja, hao Wapemba wenyewe wengi wapo Unguja
Hatuwezi kuijenga Pemba Sawa na Unguja, hao Wapemba wenyewe wengi wapo Unguja
Переглядів 1,4 тис.27 днів тому
Mwakilishi Nadir akizungumzia ujenzi wa maendeleo kisiwani Pemba.

КОМЕНТАРІ

  • @kassim1262
    @kassim1262 День тому

    Ccm wao uhuru wznzbar co lazima wao wnatuaminisha barabara namasoko ndio kila kitu 😅😅😅😅kuliko znzbr yenye uhuru wake

  • @kassim1262
    @kassim1262 День тому

    Nandio maana htuendi mbele njaa kila kona kwasababu yawtu wnaouliwa bila sababu kiukweli

  • @SeifRashid-bd1qn
    @SeifRashid-bd1qn 2 дні тому

    Asalam alykm ,Mh MakamoAhsate ,kuujulisha Umma ,si kwa huu UMMA, wa zanzibar, tuu nakwengine, pence mapungufu, kama hapakwetu,huyu wants,au huyu wetu ,kama taaswira hiyo nimuhimu katika maendeleyo,ya inchi yoyote,basically wzanzari wasingeiliajiriwa, huko ughaibuni, na hukowamepatikana, wa akina shajak wengi tu ,namiakahii na wao wamestaafu nawanaendeleakumali ,za kazi zao kwa unmindful mkubwa,huko nje ,hunger, Bw shajak kwauvumilivu nauaminifu ,uliotukuka,na Mh wetu nawe tunakuomba usichoke ,jitahidi kutuwaidh. Shukran. SRSK. Al sahaf.

  • @FeisalDoctor-yd2ge
    @FeisalDoctor-yd2ge 3 дні тому

    Cc hatutaki barabara tunatak mamlak kamili hatutaki raisi wa sanamu ccm iondoke tu izo propaganda zenu tushazizoea madarakani mumeingia kw dhulma mnapig watu mnauwa halaf mnajifany hamuoni mud w kuwadanganya watu umeisha

  • @FeisalDoctor-yd2ge
    @FeisalDoctor-yd2ge 3 дні тому

    Ww msenge kweli hufai kuwa kiongozi

  • @DamtuAbdalla-yk7dk
    @DamtuAbdalla-yk7dk 3 дні тому

    Makamo umeuwa😂😂😂❤❤

  • @DamtuAbdalla-yk7dk
    @DamtuAbdalla-yk7dk 3 дні тому

    Fact ❤❤❤

  • @DamtuAbdalla-yk7dk
    @DamtuAbdalla-yk7dk 3 дні тому

    Hongera d shajak kwa kukamilisha uongoz wako uliotukuka❤ tutakutaduta nje ya ofis kwa ushaur ❤

  • @hajiameir8688
    @hajiameir8688 3 дні тому

    Warioba shida yako ulikuwa mlevi sana ww tunakujuwa hatutaki mungano wa namna hii usitufananishe na marekani mambo ya marekani hamuyawezi nyinyi bara ni sio wat wazuri mna zarau sana wala hamna mpango ni wezi tu

  • @abrahmankhamis-e3v
    @abrahmankhamis-e3v 4 дні тому

    hatutaki muungano!

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x 5 днів тому

    Kuwe na mabaraza ya wawakilishi mawili Pemba na Unguja jamani mwenye macho angalie kweli Pemba hakuja tupwa

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 5 днів тому

    Tenna walikua sio wasomi km tukivyo na watu wanaojiita wao wasomi saiv. Saiv watu wanajisifu na makaratasi wao 2 milioni people hawawezi kuongoza shame ndani ya miaka 60. 2 milioni people hamna ata maji. Pesa zote matumboni na kuzulumu viwanja vya wananchi

    • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
      @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 2 дні тому

      Tena tukirudi huko awamu zilizopita kuna wengine walikua Mawaziri Ndio waliwapora Wazanzibar wanyonge viwanja vyao vya beach na kujenga Ma Hotels na Majumba ya Mji mkongwe, sema Dhulma haidumu ata kama Kiongozi akimaliza muda au akiama Chama

  • @user-rf1di7vs3p
    @user-rf1di7vs3p 6 днів тому

    Omo kaka mm nakuelewa mno kuliko mtu yyte yle

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 6 днів тому

    Mimi nanukuu tu maneno ikiwa kudai huku ndo kuvunja muungano 😂😂nauvunjike😅😅

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 днів тому

    Viongozi wa Zanzibar wajifunze kupitia Kenya na Raisi wao Ruto

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x 6 днів тому

    Allah afanye wepesi tumechoka Kwa kweli

  • @user-cy1od5xr8x
    @user-cy1od5xr8x 6 днів тому

    Kazi ipo maneno tu sifa ya CCM hawaogopi hata MwenyeziMungu

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 6 днів тому

    Ndio mana hawatoi nchi mana Mnaongea kuwalipisha hela

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 6 днів тому

    Mungu awape matumaini yao kwa amani NA usalama NA ujirani mwema NA undugu NA wa tanganika zanzibari ni dola la kiislaam na tabia tafauti NA muongano sio kwa nguvu zanzibari etaendelea vizuri sana kwa manufaa ya tanganika

  • @hajikiame7551
    @hajikiame7551 7 днів тому

    Kwani hawa wa zanzibaari wanataka nini

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 днів тому

      Wazanzibar wanataka Amani na Nchi yao wajitawale wenyewao, Waijenge Nchi yao kwa Mapenzi yao wenyewe na Tamaduni zao na Wamechoka kutawaliwa na Ukoloni wa Kihuni na Kijambazi!!!

    • @AbdallahSalim-is3db
      @AbdallahSalim-is3db 6 днів тому

      Wanataka upacha wao na omani urejee kama Zamani kabla ya ukoloni na wakoloni.

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 5 днів тому

      Wanataka mamlaka kamili

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 4 дні тому

      Hujuw wanasho taka kumbe

    • @kassim1262
      @kassim1262 День тому

      Ww unaeuliza wznzbar wnataka nini kwni ww unataka nini manaake wznzbar wpo kwao au wmekuja kuongea chumbani kwamamaako wnamfanyia zogo mamaako chumbani kwake bc tunashida namamaako vp yupo au

  • @Bintkilabe
    @Bintkilabe 7 днів тому

    So sad

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 7 днів тому

    IN SHA ALLAH ❤❤❤

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 7 днів тому

    Usiseme mapinduzi unatuuumiza kuna watu wameondokewa na jamaa zao kupitia mapinduzi na baado wanavidonda vya moyo vya hudhuni

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 7 днів тому

    Sawa sawa

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 8 днів тому

    Anyere mgundaa,tatii oh, maana yake,nani kanyea shamba, baba oooh

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 8 днів тому

    Mashaaalah she is hero power speech,ata Farao Firaun ilikua hivhiv lkn Aliangamia,pole mami

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 9 днів тому

    Huyu hasa sijui yupoje! Hapo ukiangalia ndio sawa unaipa mdomo serikali ya Muungano kusema bara ipate asilimia kubwa kuliko Zanzibar kwa sababu ya population. Ndio mfano anaoleta huyu jamaa.

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 9 днів тому

    Wapemba hatuwezi kutuliya kwakujengewa barabara na majumba wakati.mamlaka kamili hatuna.

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 9 днів тому

    Na ilo la Diaspora ndilo wanalolikataa Zaidi hao Mabepari wa Mlengo wa Pili muonekano wao na maoni yao ni kuwakataa kutokana na Maslahi yawe Upande wao tu!

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 9 днів тому

    Uongozi ni Moyo wa Mtu sio Jiwe inategemea na Malengo na Ufanyaji Kazi wa Uongozi!!! Kiongozi kwanza ni Kujali alipochaguliwa na kufanya Wajib wake! Kwa iyo Othman M Othman ana Sifa zote zakua Kiongozi sahihi wa Nchi yake na Wake Zaidi kutokana na Historia yake na Uchungu wake wa Nchi na Watu wake! Kiongozi ni Othman M Othman 💯👍❤ absolute his a Perfect Leader in Zanzibar!!!

  • @Bintkilabe
    @Bintkilabe 9 днів тому

    Absolutely.....

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 9 днів тому

    Wewe nimsomi mkubwa mungano bybyyyyyyyyyyy

  • @ZuenaSharifu
    @ZuenaSharifu 9 днів тому

    Ipo siku tutapata taifa letu huru Zanzibar

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv 9 днів тому

    Daraja bovu,kinuni,chumbuni,kwarara, mtopepo,kianga,mfenesini, mpemba mtupu rudini kwenu mnakajenge kwenu Muendeleze kwenu ndipo serekali italeta maendeleo hayo mnayoyataka .

    • @abdallahmohd3777
      @abdallahmohd3777 9 днів тому

      Hivi wewe unayesema wapemba warudi kwao hivi huogopi,huoni kuwa wapemba achiliya mbali unguja.awoo wabongo hawawezi kuwaondowa wapemba.wanajuwa Faida ya wapemba seuze wewe mwenye asili yabara

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 9 днів тому

      @@abdallahmohd3777 Kaka achana nae huyo si unajua mwanaharamu ata ukimtia kwenye chupa hutokeza kidole

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 9 днів тому

    Achana nao hao.

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 9 днів тому

    Ghasan shukran sana kaka yangu,sisi wazanzibar tunafahqmu.tunaelewa.kikubwa kinachotusibu.hatujapa viongozi wenye kuipenda kwadhati nnchi yetu nakupenda watu wake.lakini tunaamini,maneno ya kiongozi wetu.Othman mungu amuweke.inshallah tutafika

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 10 днів тому

    Uongozi ni amana kutoka mungu NA utakuja kuulizwa kwa amana hiyo usifurahi kwa kiongozi kuna janah alfrdaus kuliko hiyo dunia ya miyaka sabini tu NA kusihi kwa mwaminifu kwa mali ya serekali NA kuwa mwadilifu NA uliza maskini wenye haja omar alikuwa anatoka usiku wa manane kwenye giza kujulia hali ya watu NA hapo utapokolewa NA malaika NA watakuleta kwa mungu eli usalimiane naye uso kwa uso

  • @salyali7807
    @salyali7807 10 днів тому

    He is my favourite

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 10 днів тому

    Interview nzuri… Inaskitisha sana. Dhulma haidumu. Mungu mkubwa.

  • @MwigaAdam
    @MwigaAdam 10 днів тому

    Gumzo mashallah ACT wamejipambanua sana

  • @nassorkhamis7091
    @nassorkhamis7091 10 днів тому

    Mimi wa kwanza leo

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV 10 днів тому

      Safi sana kaka. Asante kwa kuwa nasi🙏

    • @nassorkhamis7091
      @nassorkhamis7091 10 днів тому

      @@ZanzibarKamiliTV Ahsante kwa kutuhabarisha kwa muda sahihi na habari sahihi.

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 10 днів тому

    Kwan upemba na unguja si uvunjeke bora nyinyi wanyamwez mubak na unguja yenu

  • @user-lb8gz5pt3u
    @user-lb8gz5pt3u 10 днів тому

    Ccm kuna viongoz wajinga sana

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 11 днів тому

    Ww hujitabui punda ww

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 11 днів тому

    Ndio wote wanaishi unguja pemba hakukaliki eti kw njaa nyeye mawaziri wote mumekukimbia kule ni mkoa mkoa na masheha ndio wao hawezi kuondoka ila wle viogozi wkubwa hukimbilia nguja kwkua kuna maendeleo ww jifunze kw waliotangulia akhera wakijinata km ww sisi tutakupiza ujue mungu km wapemba nivimbe sio kwenda maka km ss huku hatukoradhi nibure watakiwa yule jirani yk usimkere sasa ww umeukera uma uombe radhi kwnza lalini hukohuko pemba unakudharau umenunua shamba mkumbuu jee kule ww hutakujenga barabar kwsabu unataka kwekeza

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 11 днів тому

    Nikiasi muizarau pemba hamupati kura rada kw mtutu ndio lazima mukuchukie ila sio kwli huko pemba hakuna uwanja unaojengwa kwnza hamulitaki haswa kujengwa unja musitudanganye

  • @user-ty3df8wv1t
    @user-ty3df8wv1t 11 днів тому

    Ww ndio muongo

  • @user-xy5sj7fm7h
    @user-xy5sj7fm7h 11 днів тому

    Mbwa huyu acha kufitinisha na kutugawanisha

  • @user-xy5sj7fm7h
    @user-xy5sj7fm7h 11 днів тому

    Anajiamin sasabb anajuwa n mali ya serikali uyo ndio maan

  • @user-xy5sj7fm7h
    @user-xy5sj7fm7h 11 днів тому

    Hovyo kabisaa tena na hawo wanakaa wanapija makoci wajinga kwel